VIDEO MPYA YA 'AY' - "TOUCH ME" KUACHIWA JUMATATU 24/2014.
Baada ya ahadi nyingi hatimaye AY ameweka mezani tarehe rasmi ya kuachia video ya wimbo wake aliomshirikisha Sean Kingston na Ms Triniti, itatoka Jumatatu Nov.24.“Hello, It’s Me Again… Ha Ha Ha,...
View ArticleNEW AUDIO: SONGA - "BEEF". (Download mp3)
Sasa unaweza kupakua wimbo mpya wa SONGA unaitwa "BEEF"....ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO MPYA: MR BLUE - "PESA".
Sasa unaweza kuitazama VIDEO mpya ya wimbo wa PESA ya Mr. BLUE......ASILI YETU TANZANIA
View ArticleAUDIO: JAMBO SQUAD - "MAMA KLAREE". (Download MP3).
Huu ni wimbo mpya kutoka kwa Jambo Squad kutoka Arusha huu wimbo unapatika katika Mixtape Track unaofahamika kwa jina la “Mama Klaree”...... ASILI YETU TANZANIA
View ArticleLADY JAYDEE AACHIA KIONJO CHA VIDEO YAKE MPYA YA WIMBO WA "FOREVER".
Tazama kionjo cha Video ya wimbo mpya wa msanii LADY JAYDEE aliomshirikisha mdogo wake DABO, wimbo unaitwa "FOREVER".ASILI YETU TANZANIA
View ArticleNYIMBO MBILI MPYA ZA MSANII ROMA MKATOLIKI ZA NUKIA.
Roma Mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo kabla mwaka haujamalizika. Miongoni mwa ngoma hizi ni pamoja na ile iitwayo One Two, One Two itakayokuwa ikiendana na siku yake ya...
View ArticleNEW AUDIO: AY Ft. SEAN KINGSTON & MS. TRINITI - "TOUCH ME". MP3
AY ameachia rasmi collabo yake ya kimataifa aliyofanya na Sean Kingston na Ms Triniti inayoitwa’Touch Me’. Wimbo umetayarishwa na Riley & Zaire Koalo.ASILI YETU TANZANIA
View ArticleNEW SONG: LADY JAYDEE Ft. DABO - "FOREVER". MP3
Wimbo umetayarishwa na producer Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo ambayo itatoka wiki hii imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO: TIWA SAVAGE - "MY DARLIN'.
Muimbaji wa kike kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao My Darlin’. Icheki hapa....ASILI YETU TANZANIA
View ArticleAUDIO: ALAWI JUNIOR - "EVERY BODY". MP3
Sikiliza ngoma mpya ya msanii ALAWI JUNIOR, wimbo unaitwa"EVERY BODY"......ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO MUSIC: JAGUAR Ft. IYANYA - ""ONE CENTIMETER".
Tupia macho wimbo wa Video ya msanii JAGUAR kutoka Kenya aliyo mshirikisha IYANYA kutoka Nigeria, wimbo unaitwa "ONE CENTIMETER"....ASILI YETU TANZANIA
View ArticleNEW AUDIO: WAJE Ft. DIAMOND PLATNUMZ - "COCO BABY". MP3
Wimbo mpya kutoka kwa Waje toka Nigeria akimshirikisha Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Coco Baby” Producer E-Kelly...ASILI YETU TANZANIA
View ArticleCHRISTMAS SONG: DITTO LAMECK - "HERI YA KRISTMAS". (DownloadMP3)
Msimu wa Christmas ndiyo huu unakaribia sasa na huu ndo wimbo mpya maalum kwa Christmas kutoka kwa Lameck Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania...
View ArticleNEW AUDIO: QUICK ROCKA Ft. YOUNG DEE - "BISHOO" (Download Mp3)
Huu ndio wimbo mpya wa msanii QUICK ROCKA unaitwa "BISHOO" aliomshirikisha YOUNG DEE.....ASILI YETU TANZANIA
View ArticleAUDIO: NAVY KENZO - "MOYONI" (Download Mp3)
Huu ndio wimbo mpya wa kundi la NAVY KENZO, unaitwa "MOYONI"......ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO: KALA JEREMIAH Ft. NURUWELL - "USIKATE TAMAA".
Cheki wimbo mpya wa Video ya msanii KALA JEREMIAH aliomshirikisha NURUWELL, wimbo unaitwa "USIKATE TAMAA"...ASILI YETU TANZANIA
View ArticleNEW VIDEO: HISIA - "GIMME A CALL".
Video mpya kutoka kwa Mwanamuzi Hisia wimbo unaitwa “Gimme A Call” video imeongozwa na Hanscana...... ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO MUSIC: WAJE Ft. DIAMOND PLATNUMZ - "COCO BABY".
Baada ya kuachia AUDIO Msanii WAJE kutoka Nigeria sasa ameachia VIDEO ambayo pia amemshirikisha DIAMOND PLATNUMZ, wimbo unaitwa "COCO BABY", ukiwa umetengenezewa CAPE-TOWN Afrika ya Kusini na Godfather...
View ArticleAUDIO MPYA: KALA JEREMIAH Ft. NURUWELL - "USIKATE TAMAA". MP3
Kamata wimbo mpya wa Msanii KALA JEREMIAH aliomshirikisha NURUWELL, wimbo unaitwa "USIKATE TAMAA"...ASILI YETU TANZANIA
View ArticleVIDEO MUSIC: JOSE CHAMELEONE - "MILLIANO".
Dr. Jose Chameleone Msanii kutoka Uganda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Milliano’. Itazame hapa......ASILI YETU TANZANIA
View Article