$ 0 0 Roma Mkatoliki anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo kabla mwaka haujamalizika. Miongoni mwa ngoma hizi ni pamoja na ile iitwayo One Two, One Two itakayokuwa ikiendana na siku yake ya kuzaliwa.