$ 0 0 Wimbo umetayarishwa na producer Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo ambayo itatoka wiki hii imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.