$ 0 0 Msimu wa Christmas ndiyo huu unakaribia sasa na huu ndo wimbo mpya maalum kwa Christmas kutoka kwa Lameck Ditto. Ditto ambaye ameandika nyimbo nyingi ambazo ni hits kubwa katika muziki wa Tanzania wimbo huu unaitwa “Heri ya Christmas”....