China yatajwa kuwa ya kwanza kwa idadi ya watu duniani 2017.
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa na idara ya uchumi na masuala ya kijamii ya shirika la kushughulikia idadi ya watu duniani katika umoja huo.China hivi sasa ndiyo inaongoza kwa kuwa na idadi...
View ArticleVideo ya Ben Pol Ft. Darasa - 'Tatu' iko hapa.
Gumzo lake lilianzia baada ya kufuta picha zote kwenye Instagram yake na kisha kupost picha chache akiwa bila nguo na mwili wake ukionekana umeng’aa baada ya kupakwa mafuta ambapo alipoulizwa alisema...
View ArticleVideo ya Kassim Mganga Ft. Baby J - 'Lea'
Hivi unafahamu kuwa Msanii Kassim Mganga ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Lea’,? katika video hii memshirikisha msanii Baby J kutoka Zanzibar, huku Video ikiwa imeongozwa na Ivan.ASILI YETU TANZANIA
View ArticleKayumba ameachia wimbo - 'Msela' .mp3
Yule mkali aliyewahi kupata mchongo wa kwenda kurekodi wimbo Marekani chini ya usimamizi wa msanii mkubwa mchini humo Akon, namzungumzia Kayumba ambaye pia ameshawahi kuwa mshindi wa mashindano ya BSS...
View ArticleChid Benz Ft. Q Chilla - 'Muda' mp3
Habari usiyotakiwa kuikosa wakwetu ni kuhusu Rapper Chid Benz ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Muda’. Wimbo huu mpya amemshirikisha Q Chilla, huku Studio ikiwa ni Kiri Records, unaweza sikiliza hapa...
View ArticleErick Omondi asemekana kuachia movie ya Kihindi.
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ameonyesha picha kupitia mtandao wa Instagram kuwa natarajioa kutoa filamu yake ya kihindi.Omondi amepost picha kadhaa katika mtandao huo na kuwekea hastag...
View ArticleVideo: Lulu Diva - 'Utamu'
Msanii Lulu Diva baada yakufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Usimwache’, ameachia video mpya ya wimbo ‘Utamu’, tazama hapa chini alafu toa komenti yako, video imeongozwa na Hanscana.ASILI YETU TANZANIA
View ArticleWizKid Ft. Major Lazer - 'Naughty Ride' mp3
Baada ya WizKid msanii staa wa Nigeria kufanya ngoma na mastaa wakubwa duniani kama Chris Brown, Ty Dolla $ign, na Drake, sasa hivi ameamua kuja na ngoma mpya “Naughty Ride” aliyowashirikisha kundi a...
View ArticleTop 10 ya Nchi zenye idadi kubwa ya watu kwa mwaka 2017
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa na idara ya uchumi na masuala ya kijamii ya shirika la kushughulikia idadi ya watu duniani katika umoja huo, imetaja nchi 10 zenye idadi kubwa zaidi ya watu...
View ArticleTop 10 ya makampuni yenye simu bora duniani kwa mwaka 2017.
Dunia ilipofika ni kwasababu ya mchango mkubwa wa (simu) kuwa na mawasiliano mazuri kati ya mtu na mtu, nchi na nchi hadi dunia nzima ambayo sasa ni kama kijiji.Bila shaka wewe ni mtumiaji wa simu za...
View ArticleTop 10 ya wanamichezo wa kiume matajiri zaidi duniani kwa mwaka 2017
10. RAFAEL NADAL- $125 million Huyu ni staa namba moja wa mchezo wa tenesi, ameshinda tuzo nyingi duniani, na unaambiwa kila mechi anayocheza analipwa sii chini ya dola milioni 4.5 na unaweza kumuita...
View ArticleTop 10 ya miji inayoongoza kwa usafi duniani kwa mwaka 2017
Huenda ikawa ni ndoto ya kila mmoja kuishi katika maeneo safi yenye hewa safi pia. Sasa leo nimekusogezea hii miji 10 iliyotajwa kuwa ndio miji inayoongoza kwa kuwa safi duniani.10. Freiburg,...
View ArticleWayney Rooney aikacha Manchester United na kujiunga na Everton.
Mchezaji wa kitambo wa Timu ya Man United na timu ya taifa ya Uingereza Wayne Rooney amekata mzizi wa tetesi baada ya kusajiliwa na klabu mpya.Kupitia mtandao wa klabu ya Everton taarifa zimesema...
View ArticleAudio: Diomond Platnumz - "Eneka" mp3
Diamond Platnumz ameendelea kuachia ngoma mfululizo kwa mashabiki wake ndani na nje ya Tanzania. Staa huyo kutoka WCB ameachia wimbo wake mpya unaoitwa ‘Eneka’ ambao mdundo wake umetayarishwa na...
View ArticleMastaa 10 wa kiume kutoka katika Tamthilia za kikorea wenye mvuto kwa mwaka 2017
10. Lee Byung-hunAlizaliwa Julai 12, 1970 katika familia yenye utajiri huko Seoul, Korea ya Kusini. Alipokuwa na umri wa miaka 21, alijiunga kwenye usahili wa KBS na kukubaliwa. Alifanya kwanza katika...
View ArticleMastaa wa 5 wa kiume kutoka Bollywood India wanaolipwa zaidi 2017
5. Hritik Roshan Huyu ni staa wa kwanza na mwenye kipaji cha kucheza, nyota ambaye filamu yake ya kwanza iliitwa Kaho Na Pyar Hai hakuvutia tu mashabiki wake lakini pia sekta ya sauti.Alionyesha kuwa...
View ArticleVideo: Diamond Platnumz - "Eneka"
Msanii maarufu wa miondoko ya Bongo Flava nchini maarufu kama Diamond Platnumz na mmiliki wa lable ya Wasafi Classic Baby, baada ya kuachia nyimbo kadhaa, sasa amedondosha video nyingine ya wimbo...
View ArticleVideo: Vanessa Mdee Ft. Peter wa P Square - "Kisela"
Kwa mara nyingine tena nakusogezea hii ikiwa ni baada ya ukimya mwingi, staa wa Bongo Flava, Vanessa Mdee ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa‘Kisela’ aliyomshirikisha Peter msanii kutoka kundi...
View ArticleTips za Afya kwa Wanawake kwaajili ya Moyo, Akili na Mwili mzima
Kuwa na afya njema katika maisha ni jambo ambalo ni ndoto kwa kila binadamu anayehitaji kuendelea kuishi. Asili yetu Tanzania kupitia kona yaAFYA BORA tunaangazia afya kwa kinamama ambao pia ndio...
View ArticleDira ya Dunia BBC Swahili July 12, 2017
Sasa unaweza kutazama hapa taarifa ya Dira ya Dunia ya BBC Swahili uweze kuhabarika zaidi wakwetu>>>ASILI YETU TANZANIA
View Article