Quantcast
Channel: Www.maxwellyblogspot.com
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3608

Travis Scott AmeCover Jarida la Billboard.

$
0
0
 Katika kuufanya mwaka 2018 kuwa mwaka wa mafanikio katika muziki wake na ujio mpya, msanii Travis Scott ameungana na jarida la Billboard na kuwekwa juu ya jarida hilo la mastaa duniani. 

Katika mwaka huu wa 2018, Travis amepanga kuachia  LP, “Astroworld” yake mwenyewe ikiwa ni ya tatu.

 Katika mahojiano na Billboard, Travis amezungumzia project yake inayofuata, na hajujadili chochote kuhusu mahusiano yake na mpenzi wake Kylie Jenner (akikwepa maswali kuhusu ujauzito wa mpenzi wake ambao bado ni tata), lakini pia kuhusu Kanye West na mengineyo.

 PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3608

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>