$ 0 0 Yule staa anayeitangaza vyema Tanzania kimataifa VANESSA MDEE au V. MONEY ameachia video yake ya wimbo mpya aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika ya kusini K.O, wimbo unaitwa "NOBODY BUT ME".... sasa itupie macho hapo chini.....