$ 0 0 Chege na Temba na swahiba wao Madee wameshoot video ya wimbo wao waliourekodi hivi karibuni nchini Afrika Kusini. Video hiyo imeongozwa na Adam Juma.